Jina la mwanafunzi ________________________
Namba ya upimaji____________________
Mkoa____________________________
Halmashauri___________________
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA KINONDONI
MTIHANI WA UPIMAJI DARASA LA NNE
A06 JIOGRAFIA NA MAZINGIRA SANAA NA MICHEZO
Muda: Saa 1 Mwaka: 2025
Maelekezo kwa mtahiniwa
KWA MATUMIZI YA MTAHINI TU | ||
NAMBA YA SWALI | ALAMA | SAHIHI YA MTAHINI |
1. | ||
2. | ||
3. | ||
4. | ||
5. | ||
6. | ||
7. | ||
8. | ||
JUMLA |
SEHEMU A: (ALAMA 26); JIOGRAFIA NA MAZINGIRA
Jibu maswali yote katika sehemu hii.
1. Chagua jibu sahihi kisha andika herufi ya jibu sahihi kwenye kisanduku kwa kila kipengele (i)-(vi)
(ii) Waislamu huelekea Makkah wanaposwali. Kifaa gani wametumia kuwajulisha Makkah ilipo?
(iii) Tunaweza kuchora ramani ya kidijitali katika kifaa kipi kati ya hivi?
(iv) Katika ramani ya kontua, mistari ya kontua inapokaribiana sana humaanisha nini?
(v) Aisha aliambiwa aoneshe bahari, mito na maziwa kwenye ramani. Je unadhani atatumia rangi ipi?
(vi) Mtu mwenye utaalamu wa kuchora ramani huitwaje?
2. Chagua jibu sahihi kutoka kwenye kisanduku.
Migodi, Upasuaji mbao, Jiografia na mazingira, zebaki, kukata mkaa, maji safi |
(a) Tunasoma kuhusu binadamu na mazingira yake ______________________________
(b) Shughuli inayohusu kuchana miti ili kupata mnbao ____________________________
(c) Maeneo ambayo shughuli ya uchimbaji madini hufanyika ________________________
(d) Hutumika kusafishia madini mfano dhahabu _________________________
3. (a) Eneo la ardhi ambalo lina mwinuko kisha tambarare juu yake huitwaje? ________________________
(b) Mlima gani unapatikana mkoa wa Morogoro? ________________________
4. Soma picha ifuatayo kwa umakini kisha jibu maswali yanayofuata.
Maswali
(i) Kifaa hiki kinachofanana na saa kinaitwaje?_____________________________
(ii) Nini kazi ya kifaa hiki?______________________________________________
(iii) Taja sehemu moja ambayo unaweza kukuta kifaa hiki?______________________
(iv) Kuna faida gani kutumia kifaa hiki? ___________________________________________
SEHEMU B: (ALAMA 24) SANAA NA MICHEZO
5. Chagua jibu sahihi kisha andika herufi katika visanduku.
(i) Sanaa za maonesho hujumuisha vitu vifuatavyo isipokuwa:-
(ii) Jambo gani kati ya haya sio la kuzingatia wakati wa uigizaji?
(iii) Ni kitu gani kisicho hai kati ya hivi tunaweza kuigiza sauti yake?
(iv) Sanaa inayofikisha ujumbe kwa hadhira kwa njia ya kuchekesha huitwaje?
6. Chagua jibu sahihi kutoka kwenye kisanduku.
Kufinyanga kwa njia ya pindi, Jukwaa, mchezo wa kisasa, Upepo au moto, Hadhira, Fanani, Njia bapa |
(a) Halima alitengeneza vyungu vya mauwa kwa udongo____________________________________
(b) Njia za ukaushaji wa kifani______________________________________________
(c) Hutumika kuonesha matukio ya kisanii kama vile maigizo, uimbaji na ngojera________________________
(d) Watu wanaofikishiwa ujumbe__________________________________
(e) Mchezo wa sarakasi________________________________________________________________________________
7. (a) Kuna aina nyingi za mazoezi ya viungo. Andika moja tu ___________________________________________________
(b) Andika faida mbili za mazoezi ya viungo.
(i) ___________________________________________________________________________
(ii) ___________________________________________________________________________
8. Tazama picha ifuatayo kisha jibu maswali yanayofuata.
|
Maswali.
(a) Mchezo huo pichani unaitwaje? __________________________________________________
(b) Ni watu wa umri gani wanaweza kucheza mchezo huo? Taja makundi mawili.
(i) _______________________________________________
(ii) ______________________________________________
(c) Taja faida mbili za mchezo huo.
(i) _______________________________________________
(ii) _______________________________________________
STANDARD FOUR JIOGRAFIA EXAM SERIES 51
STANDARD FOUR JIOGRAFIA EXAM SERIES 51