?> JIOGRAFIA STANDARD FOUR EXAMS SERIES
JIOGRAFIA STANDARD FOUR EXAMS SERIES

Jina La Mwanafunzi: _______________________________________
 Jina La Shule: ___________________________________________

JAMIHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, OFISI YA WAZIRI MKUU TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MTAA

MTIHANI WA MUHULA WA MWEZI MEI 2026

JIOGRAFIA NA MAZINGIRA/ SANAA NA MICHEZO DARASA LA IV


MAELEKEZO

  1. Mtihani huu una sehemu A, B na C zenye maswali 5 na vipengele 25.
  2. Jibu maswali yote.
  3. Fuata maelekezo yote uliyopewa katika kila swali.
  4. Andika jina lako, la shule na halmashauri kwenye sehemu wazi hapo juu.
  5. Maandishi yote yaandikwe kwa kalamu ya wino wa bluu au mweusi.
  6. Vifaa vya mawasiliano na vitu vyote visivyoruhusiwa havitakiwi katika chumba cha mtihani

SEHEMU A: (ALAMA 20)

1. Chagua herufi ya jibu sahihi kisha iandike kwenye mabano.

i. Aina gani ya ramani huonyesha maumbo ya asili na maumbo yaliyotengenezwa na binadamu?

  1. Ramani za topografia
  2. Ramani za kisasa [ ]
  3.  Ramani za kiuchumi
  4. Ramani za thematiki

 ii. Kwa kawaida mshale wa dira huonyesha upande gani wa dunia?

  1. Mashariki
  2. Magharibi [ ]
  3. Kaskazini
  4. Kusini

iii. Rangi ya bluu kwenye ramani mara nyingi huwakilisha …………

  1. Maeneo yenye maji
  2. Maeneo ya mlima [ ]
  3. Maeneo yenye miti na mimea mingi
  4. Maeneo ya jangwa

iv. Miondoko ya mwili katika uigizaji ni moja ya vitu muhimu vinavyopaswa kufanyiwa mazoezi na muigizaji kabla ya kuigiza. Je, kipi ni faida kuu ya kufanya miondoko hiyo?

  1. Kusaidia hadhira kuelewa uhusika na ujumbe wa muigizaji
  2. Humfanya muigizaji kuwa maarufu [ ]
  3. Kupoteza muda
  4. kupata hela nyingi

v. Madhara yanayoweza kuletwa na mvua nyingi ni

  1. Kuota kwa mazao mengi
  2. Mafuriko [ ]
  3. Tetemeko la ardhi
  4. Unyevu anga

2. Oanisha orodha A na orodha B ili kuleta maana iliyokusudiwa


ORODHA A

JIBU

 ORODHA B

i.

Rasilimali


A. Udongo

B. Kuwezesha makazi ya viumbe hai

C. Maji

D. Elimu inayohusu binadamu na mazingira

E. Kikundi cha watu wanaoimba Pamoja.

F. Nishati isiyo na madhara kwa mazingira

G. Husaidia matumizi endelevu ya rasilimali

H. Vitu muhimu vinavyopatikana mahali kama vile madini, maji, na misitu.

ii.

Jiografia


iii.

Ardhi


iv.

Kwaya


v.

Umeme wa jua


SEHEMU B: (Alama 20)

3. Jaza nafasi zilizo wazi

i. ___________________________________ hutumika kufafanua alama na ishara zinazotumika katika ramani.

ii. Sehemu ambapo watu huishi na kujenga nyumba zao huitwa__________________________________

iii. __________________________________ ni sehemu ya ardhi iliyoinuka zaidi kuliko maeneno mengine yote katika uso wa dunia.

iv. ___________________ ni mavazi yanayovaliwa na waigizaji wakati wa kuigiza.

v. Chanzo cha asili cha joto na mwanga duniani ni _______________________________________

4. Chagua jibu sahihi kutoka kwenye kisanduku kujaza nafasi zilizoachwa wazi

Ramani ya topografia, Skeli, Kontua, Vidoti, Ramani ya kisiasa, Fremu, Ufunguo

i. Uhusiano wa umbali unaowasilishwa katika ramani na umbali halisi uliopo katika ardhi huitwa_________________________________________

ii. Hutumika kuonyesha mteremko na mwinuko mkali___________________________________

iii. Huonyesha mtawanyiko wa watu _____________________________________

iv. Mipaka ya Nchi, Mkoa, Wilaya, huonyeshwa na ____________________________________

v. Huonyesha mpaka wa ramani husika ____________________________________ SEHEMU C: (Alama 10)

5. Taja majina ya alama za ramani zifuatazo.

NA. ALAMA JINA
i
ii
iii
iv
v



LEARNINGHUBTZ.CO.TZJIOGRAFIA STANDARD FOUR EXAM SERIES 126

Pupil’s name: _______________________________________
School name: ___________________________________________

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA, PRIME MINISTER'S OFFICE REGIONAL ADMINISTRATION AND LOCAL GOVERNMENT. 

TERMINAL EXAMINATION MAY 2026

GEOGRAPHY AND ENVIRONMENT/ ART AND SPORTS

 STANDARD IV

INSTRUCTIONS

  1. This paper consists of sections A and B with 5 questions and 25 items.
  2. Answer all questions.
  3. Follow the given instructions in every question.
  4. Write your name, school name and district in the spaces provided above.
  5. All writings must be in a blue or black pen.
  6. Communication devices and prohibited items are not allowed in the examination room.

SECTION A: (20 MARKS)

1. Choose the correct answer from the given choices and write it’s letter in the bracket(s)

i. What type of map shows natural and man-made features ?

  1. Topographical map
  2. Modern map
  3. Economic map
  4. Thematic map

 ii. Which direction does a compass arrow usually point to?

  1. East
  2. West
  3. North
  4. South

 iii. What does the blue colour on a map often represent?

  1. Watery areas
  2. Mountainous areas
  3. Areas with many trees and plants
  4. Desert areas

 iv. Body movements in acting are one of the most important things to be practised by an actress/actor before acting. What is the main benefit of making movements?

  1. To help the audience understand the responsibility of the actor`s message
  2. Makes the actress to be famous
  3. Not to waste time
  4. Multiple money

v. Effects that can be caused by heavy rainfall is?

  1. Growing crops
  2. Floods
  3. Earthquake
  4. Humidity

2. Match items in column A with those of column B to bring meaningful statements;


COLUMN A

ANSWER

COLUMN B

i.

Resources


A. Soil

B. It provides habitat of living organism

C. Water

D. The study of human and environment.

E. A group of people singing together.

F. Non harmful energy to the environment

G. Helps sustainable use of resources

H. Important items found in places like minerals, water and forest

ii.

Geography


iii.

Land


iv.

Choir


v.

Solar power


SECTION B: (20 MARKS)

3. Fill in the blank spaces

i. ______________________________________is used to explain symbols and signs of a map.

ii. A place where people live and build their houses is called___________________________________

iii. ____________________________ is a landform with the highest attitude above the earth’s surface.

iv. ______________________________________are the clothes worn by actors during acting.

v. The natural source of light and heat on the earth is__________________________________________

4. Choose the correct answer from the box, then write the answer in the space provided

Topographical maps, scale, contour, dots, political map, frame, key

i. The relationship between distance shown on the map and real ground distance is______________________________________

ii. Used to show steep and gentle slopes on a map _____________________________________

iii. Used to show population distribution______________________________________

iv. Shows countries, regions, and districts boundaries _________________________________

v. Shows the boundaries of map__________________________________

 SECTION C: (10 MARKS)

5. Name the following map symbols

NO. SYMBOL NAME
i
ii
iii
iv
v


LEARNINGHUBTZ.CO.TZJIOGRAFIA STANDARD FOUR EXAM SERIES 122

Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256