?>
OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
MTIHANI WA MUHULA WA PILI
SOMO: SANAA NA MICHEZO DARASA: TATU
MUDA: SAA 1:30
JINA: ____________________________________ TAREHE: ______________
SEHEMU A: Chagua herufi ya jibu sahihi
1.(i)Kitendo cha kufuatishakitu au jambo la mtumwingineni___________ [ ]
(a)kucheza (b)kuigiza (c)kupika
(ii)Uigizaji una sifakuu ngapi? [ ]
(a) Moja (b) mbili (c) nne
(iii) _______________ni mtu mwenye ustadi wakazi ya sanaa [ ]
(a) Msanii [b] Mfinyanzi [c] Mwalimu
(iv)Tarumbeta ni mfano wa alaya____________ [ ]
(a) Kupuliza (b) Kuvuta (c) Kubonyeza
(v) Ujumbe uliokusudiwa katika kazi ya sanahujulikanakama ________ [ ]
(a)Ngonjera(b) kichekesho(c) dhamira
2. SEHEMU : Chagua maneno kutoka kwenye kisandu kumalizia sentensi hapa chini
| Gitaa, Kuburudisha, Jiwe, Ngombe,Tarumbeta, Fanani,Ala za mziki |
3. SEHEMU C: Oanisha fungu A nafungu B iliupate maana sahihi
| FUNGU A | JIBU | FUNGU B |
| (i)Sanaa Inayofikisha ujumbe kwakujisifia | [ ] |
|
| (ii)Mahali pa kuigizia | [ ] | |
| (iii) Kutamka maneno katika hali ya kuimba | [ ] | |
| (iv) Gitaa, kinubi; litungu, zeze | [ ] | |
| (v) kuvuta hewa na kutunza kwa kisha kuitoa | [ ] |
4:SEHEMU D: jaza nafasi zilizo wazi
5.SEHEMU E: Soma kifungu cha habari kisha jibu maswali
Mazoezi yaviungo ni muhimu katika makuzi na maendeleo ya mtoto. Mazoezi yaviungo humarisha afya ya mwili na kuboresha stadi za uchezaji. Yapo mazoezi ya wepesi na kujisawazisha. Mazoezi ya viungo hufanyika kwa mitindo mbalimbali. Mfano: kukimbia, kuruka na kusimama kwamguu mmoja. Mazoezi huweza kufanywa na mtu mmoja au katika vikundi.
LEARNINGHUBTZ.CO.TZMICHEZO STANDARD THREE EXAM SERIES 136
OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
MTIHANI WA MUHULA WA PILI
SOMO: SANAA NA MICHEZO DARASA: TATU
MUDA: SAA 1:00 SEHEMU
1. Chagua herufi ya jibu sahihi kasha iandike katika kisanduku
i. Ni kifaa kipi hutumika kwenye mchezo wa rede?
ii. Nini faida ya uigizaji katika jamii yetu?
iii. Kitendo cha kufuatisha kitu au jambo la mwingine huitwa ____.
iv. ___ ni ujumbe unaokusudiwa katika kazi ya sanaa.
v. Mtu mwenye ustadi wa kazi ya sanaa huitwa____.
SEHEMU B:
2. Oanisha Sehemu A na Sehemu B ili kuleta maana sahihi.
| NA. | SEHEMU A | MAJIBU | SEHEMU B |
| i. | Watazamaji wa sanaa za maonesho | [ ] | A. Nyimbo |
| ii. | Kwaya ya muziki ya bongo fleva | [ ] | B. Igizo |
| iii. | Mtu mwenye ustadi wa kazi ya sanaa | [ ] | C. Maleba |
| iv. | Onesho linalofanyika wakati wa kuigiza | [ ] | D. Hadhira |
| v. | Mavazi yanayovaliwa wakati wa kuigiza | [ ] | E. Msanii |
SEHEMU C:
3. Chagua neno sahihi kutoka katika jedwali kisha jaza nafasi wazi.
| Ala, wawili, penseli, watatu, kugonga, chungu, kupuliza. |
i. Mchezo wa bao huchezwa na watu wangapi? _______________________.
ii. Kifaa kinachotumika katika muziki huitwa ______________________.
iii. Tarumbeta ni ala ya muziki ya _____________________.
iv. Kifaa kinachotumika katika sanaa ya uchoraji ni __________________.
v. Kifaa kinachotokana na sanaa ya ufinyanzi ni ___________________.
SEHEMU C:
4. Tumia sanaa ya uchoraji kuchora vitu vifuatavyo kwa usahihi.
| NA. | JINA LA PICHA | UMBO LA PICHA |
| i. | Ngoma | |
| ii. | Kiti | |
| iii. | Nyumba | |
| iv. | Meza | |
| V. | Kikombe | |
SEHEMU D.
5. Chunguza picha kwa makini kisha jibu maswali yanayofuata;

Maswali
i. Kifaa kinachooneshwa kwa herufi A huitwa ____________________.
ii. Kikombe kimeoneshwa kwa herufi gani _______________________.
iii. Udongo gani hutumika katika ufinyanzi? ________________________.
iv. Shughuli ipi hupelekea uzalishaji wa vifaa vinavyoonekana katika picha? __________________________.
v. Herufi B inaonesha kifaa gani kilichotengenezwa? ___________________.
LEARNINGHUBTZ.CO.TZMICHEZO STANDARD THREE EXAM SERIES 113