| Main Topic | Sub Topic | Content Covered | Date Started | Date Ended | Teacher's Comment | H.O.D Comment | H/M Comment |
|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 1.0 Kumudu dhana na misingi ya fasihi | 1.1 Kukuza uelewa wa dhana ya fasihi | (i) Kufafanua dhana ya fasihi. (ii) Kubaini sifa za fasihi. (iii) Kuwasilisha majibu darasani. | |||||
| 1.0 Kumudu dhana na misingi ya fasihi | 1.1 Kukuza uelewa wa dhana ya fasihi | (i) Kuchambua fasili mbalimbali. (ii) Kulinganisha mawazo ya wataalamu. (iii) Kuwasilisha hitimisho. | |||||
| 1.0 Kumudu dhana na misingi ya fasihi | 1.1 Kukuza uelewa wa dhana ya fasihi | (i) Kubaini mitazamo mbalimbali. (ii) Kujadili tofauti zake. (iii) Kuwasilisha hoja. | |||||
| 1.0 Kumudu dhana na misingi ya fasihi | 1.1 Kukuza uelewa wa dhana ya fasihi | (i) Kuchambua mawazo ya wataalamu. (ii) Kutetea hoja kwa ushahidi. (iii) Kuwasilisha matokeo. | |||||
| 1.0 Kumudu dhana na misingi ya fasihi | 1.1 Kukuza uelewa wa dhana ya fasihi | (i) Kubaini ubora wa mitazamo. (ii) Kubaini udhaifu wake. (iii) Kuwasilisha hitimisho. | |||||
| 1.0 Kumudu dhana na misingi ya fasihi | 1.2 Kutathmini nadharia za chimbuko la fasihi | (i) Kufafanua nadharia za chimbuko. (ii) Kubaini sifa zake. (iii) Kuwasilisha matokeo. |