| Umahiri Mkuu | Umahiri Mahususi | Kilicho Fundishwa | Tar. Ya Kuanza | Tar. Ya Kumaliza | Maoni Ya Mwl. | Maoni Ya Mkuu Wa Idara | Maoni Ya Mkuu Wa Shule |
|---|---|---|---|---|---|---|---|
| Kuwasiliana katika miktadha mbalimbali. | 1.1Kutambua sauti mbalimbali katika matamshi ya silabi, maneno sentensi na habari fupi. | a) Kutamka sauti za maneno yanayoundwa na silabi kadhaa katika chati ya maneno. | |||||
| --Kuwasiliana katika miktadha mbalimbali. | --1.1Kutambua sauti mbalimbali katika matamshi ya silabi, maneno sentensi na habari fupi. | --b) Kutamka sauti za herufi mwambatano gh, py, nz, ky na herufi nyingine zenye muundo huo katika sentensi. | |||||
| Kuwasiliana katika miktadha mbalimbali. | --1.1Kutambua sauti mbalimbali katika matamshi ya silabi, maneno sentensi na habari fupi. | c) Kutamka sauti za herufi mwambatano 1w, pw, sw, tw na nyingine zenye muundo huo katika sentensi. | |||||
| Kuwasiliana katika miktadha mbalimbali. | Kutambua sauti mbalimbali katika matamshi ya silabi, maneno sentensi na habari fupi. | Kutamka sauti za herufi mwambatano 1w, pw, sw, tw na nyingine zenye muundo huo katika sentensi. | |||||
| Kuwasiliana katika miktadha mbalimbali. | 1.2 Kutumia matamshi sahihi katika msamiati mbalimbali. | a) Kutamka matamshi sahihi ya maneno yenye herufi -s- na `th- | |||||
| Kuwasiliana katika miktadha mbalimbali. | Kutumia matamshi sahihi katika msamiati mbalimbali. | b) Kutamka matamshi sahihi ya maneno yenye herufi -z- na ,dh,. |