HELLO YOUR HERE TO VIEW SCHEME CONTENT OF HISTORIA YA TANZANIA NA MAADILI KIDATO CHA VI
Main competence Specific competence Learning Activities Specific activities Month Week Periods Reference Teaching and learning methods Teaching and learning resources Assessment tools Remarks
1. Kumudu historia ya ujenzi wa taifa na maadili yake katika kipindi cha 1961–1966 1.1 Kumudu chimbuko la ukoloni mamboleo (a) Kueleza dhana na chimbuko la ukoloni mamboleo. (i) Kufafanua dhana ya ukoloni mamboleo. (ii) Kueleza chimbuko lake. (iii) Kuwasilisha majibu darasani. Julai Wiki ya 2 4 T.E.T. (2024). Historia ya Tanzania na Maadili Kitabu cha Mwanafunzi Kidato cha VI. Bunguabongo, Fikiri–Andika–Jozisha–Shirikisha Matini, Flashi, Kompyuta, TV Maswali ya mdomo, Zoezi, Orodha hakiki Remarks Written here
1. Kumudu historia ya ujenzi wa taifa na maadili yake katika kipindi cha 1961–1966 1.1 Kumudu chimbuko la ukoloni mamboleo (a) Kueleza dhana na chimbuko la ukoloni mamboleo. (i) Kuchambua sifa za ukoloni mamboleo. (ii) Kulinganisha na ukoloni wa moja kwa moja. (iii) Kuwasilisha hitimisho. Julai Wiki ya 2 6 T.E.T. (2024). Historia ya Tanzania na Maadili Kitabu cha Mwanafunzi Kidato cha VI. Fikiri–Andika–Jozisha–Shirikisha, Majadiliano Matini, Kompyuta, TV, Hotuba za viongozi Uwasilishaji, Kazi, Zoezi Remarks Written here
1. Kumudu historia ya ujenzi wa taifa na maadili yake katika kipindi cha 1961–1966 1.1 Kumudu chimbuko la ukoloni mamboleo (b) Kuchambua athari za ukoloni mamboleo kwa Tanzania kiuchumi, kisiasa, kijamii, kiutamaduni na kimaadili. (i) Kubaini athari za ukoloni mamboleo. (ii) Kuzigawa katika nyanja mbalimbali. (iii) Kuwasilisha matokeo. Julai Wiki ya 3 4 T.E.T. (2024). Historia ya Tanzania na Maadili Kitabu cha Mwanafunzi Kidato cha VI. Changanyakete, Majadiliano Matini, Chati, Magazeti, Makala Zoezi, Maswali ya mdomo, Orodha hakiki Remarks Written here
1. Kumudu historia ya ujenzi wa taifa na maadili yake katika kipindi cha 1961–1966 1.1 Kumudu chimbuko la ukoloni mamboleo (b) Kuchambua athari za ukoloni mamboleo kwa Tanzania kiuchumi, kisiasa, kijamii, kiutamaduni na kimaadili. (i) Kuchambua athari za kiuchumi na kisiasa. (ii) Kutathmini athari za kijamii na kiutamaduni. (iii) Kuwasilisha hoja. Julai Wiki ya 3 6 T.E.T. (2024). Historia ya Tanzania na Maadili Kitabu cha Mwanafunzi Kidato cha VI. Majadiliano, Changanyakete Matini, Chati, Magazeti, Vifaa vya TEHAMA Uwasilishaji, Kazi, Zoezi Remarks Written here

Fill The Form Below To Download Scheme Of Work Of HISTORIA YA TANZANIA NA MAADILI KIDATO CHA VI For T.Sh. 2,000/=



WHATSAPP US NOW FOR ANY QUERY

  WhatsApp Us Now Line #1  



  WhatsApp Us Now Line #2  

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256